LEO Machi 15,2022 Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ametangaza rasmi orodha ya wachezaji ambao wataingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki zilizo kwenye kalnda ya FIFA.
Nyota hao ni pamoja na:-Aishi Manula wa Simba
Metacha Mnata wa Polisi Tanzania
Aboutwalib Mshery wa Yanga hawa ni kwa upande wa makipa.
Pia wengine ni pamoja na Shomari Kapombe wa Simba
Israel Mwenda wa Simba
Haji Mnoga wa Weymouth ya Uingereza
Dickson Job wa Yanga
Bakari Mwamnyeto wa Yanga
Lusajo Mwaikenda wa Azam FC
Abdulrazack Hamza wa Namungo
Mohamed Hussein wa Simba’
Nickson Kibabage wa KMC
Farid Mussa wa Yanga
Novatus Dismas wa Beltar Tel Aviv Bat Yam ya Isarel
Mzamiru Yassin wa Simba
Jonas Mkude wa Simba
Zawad Mauya wa Yanga
Aziz Andambwile wa Mbeya City
Simon Msuva wa Wydad ya Morocco
Kelvin John wa Genk ya Ubelgiji
Feisal Salum wa Yanga
Ben Starkie wa Spalding ya Uingereza
Mbwana Samatta wa Antwerp ya Ubelgiji
Tepsi Evance wa Azam FC.
Relliats Lusajo wa Namungo
Kibu Dennis wa Simba
George Mpole wa Geita Gold
Ibrahim Joshua wa Tusker ya Kenya.
No comments:
Post a Comment