KAMATI YA PAC YAKAGUA MRADI WA BRT AWAMU YA II - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 29 March 2022

KAMATI YA PAC YAKAGUA MRADI WA BRT AWAMU YA II

  

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakipokea maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT), Barakael Mmari kuhusiana na ujenzi wa Daraja la Mabasi hayo unaondelea katika eneo la Bandari, wajumbe hao wamekagua mradi huo wa Awamu ya II unaotekelezwa na Wakala wa Barabara (TANROADS).

 

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),Mheshimiwa Japhet Hasunga akizungumza wakati Kamati hiyo ilipokuwa inakagua Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) Awamu ya II unaotekelezwa na Wakala wa Barabara (TANROADS)

Meneja Usafirishaji wa mabasi yaendayo kasi (BRT), Mohamed Kugonda akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuhusu Kituo cha abiria cha mabasi hayo cha Kariakoo, wajumbe hao wamekagua mradi huo wa Awamu ya II unaotekelezwa na Wakala wa Barabara (TANROADS).

Meneja Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT), Barakael Mmari akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuhusu Kituo cha abiria cha mabasi hayo cha Kariakoo, wajumbe hao wamekagua mradi huo wa Awamu ya II unaotekelezwa na Wakala wa Barabara (TANROADS)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here