KIKAO KAZI CHA TIMU YA WATAALAM WA HIFADHI YA JAMII KUPITIA NA KUBORESHA RASIMU YA SERA YA TAIFA YA HIFADHI YA JAMII - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 31 March 2022

KIKAO KAZI CHA TIMU YA WATAALAM WA HIFADHI YA JAMII KUPITIA NA KUBORESHA RASIMU YA SERA YA TAIFA YA HIFADHI YA JAMII

  

Mtaalamu elekezi ndg. Anthony Hodge akifafanua jambo kwa washiriki wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wataalam kutoka katika Wizara na Taasisi kwa lengo la kupitia na kuboresha rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii, Jijini Dodoma.

 

Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wataalamu elekezi wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wataalam kutoka katika Wizara na Taasisi kwa lengo la kupitia na kuboresha rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii, Machi 30, 2022 Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here