RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI TANZANIA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 1 March 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI TANZANIA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe Manfredo Fanti (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimzikiliza Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe.Manfredo Fanti, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here