Waumini Mbalimbali wa kanisa katoliki wakishiriki misa ya kwanza katika Kanisa la Hija Parokia ya Mwanjelwa Jimbo kuu Mbeya leo Machi 6, 2022 Jijini humo, ambapo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson alishiriki katika misa hiyo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza mbele ya waumini wakati aliposhiriki misa ya kwanza katika Kanisa la Hija Parokia ya Mwanjelwa Jimbo kuu Mbeya leo Machi 6, 2022
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki misa ya kwanza katika Kanisa la Hija Parokia ya Mwanjelwa Jimbo kuu Mbeya leo Machi 6, 2022.
No comments:
Post a Comment