WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA WIZARA YAKE KUPITIA TAARIFA ZA BAJETI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 1 March 2022

WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA WIZARA YAKE KUPITIA TAARIFA ZA BAJETI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Uhamiaji Nchini, CGI Dkt. Anna Makakala, alipokuwa akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Viongozi Wakuu wa Taasisi za Wizara yake pamoja na Maafisa mbalimbali wa Taasisi hizo, katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na viongozi wakuu wa Taasisi za Wizara yake, katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP Suleiman Mzee, Mkuu wa Jeshi la Uhamiaji, CGI Dkt. Anna Makakala, na Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF John Masunga.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiandika maoni ya Watendaji Wakuu wa Taasisi za Wizara yake, walipokuwa wakizungumza katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Viongozi Wakuu wa Taasisi za Wizara yake pamoja na Maafisa mbalimbali wa Taasisi hizo (hawapo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiandika maoni ya Watendaji Wakuu wa Taasisi za Wizara yake (hawapo pichani), walipokuwa wakizungumza katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here