MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI 11.4.202 - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 11 April 2022

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI 11.4.202

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Itilima Njalu Silanga, Bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Hawa Mwaifunga, Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji, Juma Aweso, Bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here