RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA NEMBO YA SENZA YA WATU NA MAKAZI - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 8 April 2022

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA NEMBO YA SENZA YA WATU NA MAKAZI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alipofutarisha Viongozi na Wananchi mbalimbali wa Zanzibar Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar Jana tarehe 07 Aprili 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe 23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua rasmi Nembo ya Sensa ya Watu na Makazi ambayo itaanza kutumika rasmi, baada ya kutangaza kuwa Sensa hiyo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022 nchi nzima. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Nembo ya Sensa ya Watu na Makazi ambapo itaanza kutumika baada ya kutangaza kuwa Sensa hiyo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022 nchi nzima. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Nembo ya vyeti maalum kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Sensa, kuashiria kumpa Jukumu la kuanza kazi hiyo rasmi wakati wa  uzinduzi rasmi wa Nembo ya Sensa ya Watu na Makazi ambayo itaanza kutumika, baada ya kutangaza kuwa Sensa hiyo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022 nchi nzima. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Nembo ya vyeti maalum kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu, kuashiria kumpa Jukumu la kuanza kazi hiyo wakati wa  uzinduzi rasmi wa Nembo ya Sensa ya Watu na Makazi ambapo Sensa hiyo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022 nchi nzima. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar. Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt. Hessein Ali Mwinyi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson na Ujumbe wake baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe 23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here