RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, AFUTARISHA VIONGOZI NA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM . - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 11 April 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, AFUTARISHA VIONGOZI NA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM .

     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akifutari pamoja na Viongozi wa Dini, Wanasiasa, Wazee na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Futari aliyoiyandaa Jana 10 April 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here