RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA KATIKA FUTARI MAALUM ALIYOWAANDALIA KATIKA UKUMBI WA UWANJA WA WATOTO TIBIRINZI CHAKECHAKE PEMBA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 14 April 2022

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA KATIKA FUTARI MAALUM ALIYOWAANDALIA KATIKA UKUMBI WA UWANJA WA WATOTO TIBIRINZI CHAKECHAKE PEMBA

 

WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.

  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-4-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here