RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZEE WA BARAZA LA WAZEE WA CCM PEMBA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 14 April 2022

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZEE WA BARAZA LA WAZEE WA CCM PEMBA

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Mohammed Abass Mselem, wakati wa mkutano huo wa Wazee uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba 

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Abdalla Yussuf Ali akisoma na kuwasilisha taarifa ya Wazee wa Baraza la CCM, wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba 

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here