SPIKA DKT.TULIA AKIJIANDAA KWA MASHINDANO YA MARATHONI MBEYA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 11 April 2022

SPIKA DKT.TULIA AKIJIANDAA KWA MASHINDANO YA MARATHONI MBEYA

   

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifanya mazoezi ya kukimbia katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo Aprili 11, 2022 kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya MBEYA TULIA MARATHON yanayotarajiwa kufanyika Jijini Mbeya kuanzia Mei 6 na 7, 2022 yenye lengo ya kuboresha miundombinu ya elimu na afya. (Pembeni yake ni msaidizi wake Bi. Martha Lyafunyile)

PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here