BRELA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 1 May 2022

BRELA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

    Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022. Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.  Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunini katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here