BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI MKUU - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 16 June 2022

BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI MKUU

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright baada ya kikao kilichofanyika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Ubalozi Marekani ulioongozwa na Balozi wa nchi hiyo nchini, Donald J. Wright ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Juni 16, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here