KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AWASILI BUSEGA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 3 June 2022

KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AWASILI BUSEGA

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Busega Ndugu Daudi Ng’hindi mara baada ya kupokelewa na viongozi hao katika kata ya Mkula Busega akitokea wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.

Katibu Mkuu huyo wa CCM taifa Leo anaendelea na  ziara yake ya siku 9 kukagua uhai wa chama na utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 na miradi mbalimbali ya maendeleo katika Jimbo la Busega mkoani humo.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongozana  na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Busega Ndugu Daudi Ng’hindi mara baada ya kupokelewa na viongozi hao katika kata ya Mkula Busega akitokea wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu mara baada ya kupokelewa na viongozi wa wilaya ya Busega katika kata ya Mkula akitokea wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM mara baada ya kupokelewa na viongozi hao katika kata ya Mkula Busega akitokea wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.

 

Wana CCM mbalimbali wakimlaki Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo katika kata ya Mkula Busega akitokea wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.

 

Picha mbalimbali zikionesha wana CCM wakimlaki Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo alipowasili kata ya Mkula Busega mkoani Simiyu.  

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here