POLISI IRINGA YAWATIA MBARONI WATOTO WAZURULAJI - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Breaking

Friday, 10 June 2022

POLISI IRINGA YAWATIA MBARONI WATOTO WAZURULAJI

Kamanda wa polisi mkoani Iringa ACP Allan Bukumbi
akitoa taarifa ya jeshi la polisi kwa waandishi wa Habari mkoani Iringa alisema
Watoto hao walikamatwa katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Iringa

Jeshi la polisi mkoani Iringa Linawashikilia
watoto wapatao 10 kwa tuhuma za uzururaji baada ya kuwakamata nyakati za usiku
katika oparesheni maalum ya kukomesha uzururaji kwa Watoto unaopelekea wengi
wao kujihusisha na vitendo vya uhalifu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here