RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SWALA MASIJD SUNNA KIKWAJUNI ZANZIBAR - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 10 June 2022

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SWALA MASIJD SUNNA KIKWAJUNI ZANZIBAR

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Sheikh Kassim Haidar  Jabbir Alfarsiy leo mara baada ya swala ya Ijumaa     katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipotoa nassaha zake   leo kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (wa pili kushoto) leo mara baada ya swala ya Ijumaa liyoswaliwa  katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022. 

Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa nassaha zake   leo mara baada ya swala ya Ijumaa     katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here