Rwanda yasema ukosoaji wa mpango wa Uingereza wa kupata hifadhi 'ni matusi' - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 17 June 2022

Rwanda yasema ukosoaji wa mpango wa Uingereza wa kupata hifadhi 'ni matusi'

 Ukosoaji wa kimataifa juu ya mpango wa Rwanda wa kupokea waomba hifadhi kutoka Uingereza ni "matusi", kulingana na msemaji wa serikali Yolande Makolo.

Alisema wakosoaji wanapaswa kusafiri hadi katika nchi hiyo ya Afrika mashariki kuona maendeleo ambayo imepiga.

"Madai kwamba kuishi Afrika ni adhabu ni matusi kwa wanaoishi hapa na wanafanya kazi kwa bidii kujenga nchi zetu. Tunataka Afrika ifanikiwe.

Rwanda imepiga hatua kubwa sana. Watu waje waone," Bi Makolo alitweet.Aliambatanisha kipande cha video cha mcheshi wa Afrika Kusini Trevor Noah akikosoa mwitikio wa mpango wa hifadhi

Social embed from twitter


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here