VODACOM TANZANIA Plc YASHIRIKIANA NA MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD KUUNGANISHA WAKULIMA KOTE NCHINI KUPITIA MPANGO WA KIDIGITALI FARM CLINIC - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 6 June 2022

VODACOM TANZANIA Plc YASHIRIKIANA NA MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD KUUNGANISHA WAKULIMA KOTE NCHINI KUPITIA MPANGO WA KIDIGITALI FARM CLINIC

 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli (wa pili kushoto) , Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi, Bakari Machumu na Mkuu wa idara ya mambo ya intaneti na akili bandia (IOT & Internet of things) Vodacom, Yvonne Bayona wakiwa wameshika mfano wa hundi iliyotolewa na kampuni ya Vodacom kwa Mwananchi communications kwa ajili ya kusaidia kuwaunganisha wakulima nchini na mpango wa Farm Clinic ili kupata taarifa za kilimo kidijitali na kusaidia wakulima kufanya malipo kwa kutumia M-Pesa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose  akizungumza wakati wa  hafla ya makabidhiano ya hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100  kati ya kampuni za Vodacom na Mwananchi communications kwa ajili ya kusaidia kuwaunganisha wakulima nchini na mpango wa Farm Clinic ili kupata taarifa za kilimo kidijitali na kusaidia wakulima kufanya malipo kwa kutumia M-Pesa.

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli  akizungumza wakati wa  hafla ya makabidhiano ya hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100  kati ya kampuni za Vodacom na Mwananchi communications kwa ajili ya kusaidia kuwaunganisha wakulima nchini na mpango wa Farm Clinic ili kupata taarifa za kilimo kidijitali na kusaidia wakulima kufanya malipo kwa kutumia M-Pesa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi, Bakari Machumu  akizungumza wakati wa  hafla ya makabidhiano ya hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100  kati ya kampuni za Vodacom na Mwananchi communications kwa ajili ya kusaidia kuwaunganisha wakulima nchini na mpango wa Farm Clinic ili kupata taarifa za kilimo kidijitali na kusaidia wakulima kufanya malipo kwa kutumia M-Pesa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here