WIZARA YA MADINI KUTOA ELIMU KWA WACHIMBAJI NA WAZEE WA MILA ARUSHA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 3 June 2022

WIZARA YA MADINI KUTOA ELIMU KWA WACHIMBAJI NA WAZEE WA MILA ARUSHA

      

Wataalam kutoka Wizara ya Madini Leo tarehe 3 Juni, 2022 watatoa semina maalum kwa wazee wa Mila wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwa ajili ya kuelemisha masuala mbalimbali itakayohusu Sekta ya Madini ikiwemo elimu ya Sheria ya Madini, Uchimbaji na usimamizi wa mazingira katika maeneo ya uchimbaji.

Aidha, watatoa elimu kuhusu ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini (Local Content) na Wajibu wa Makampuni kwa Jamii zinazonguka migodi (CSR).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here