Sayf al-Adl: Tunajua nini kuhusu 'kiongozi mtarajiwa ' wa al-Qaeda? - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 5 August 2022

Sayf al-Adl: Tunajua nini kuhusu 'kiongozi mtarajiwa ' wa al-Qaeda?

 

Picha ya Sayf al-Adl iliyotolewa na FBI mnamo 2001

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Maelezo ya picha,

Picha ya Sayf al-Adl iliyotolewa na FBI mnamo 2001

Kifo cha kiongozi wa al-Qaeda Ayman al-Zawahiri katika shambulio la ndege zisizo na rubani lililotekelezwa na Marekani katika mji mkuu wa Afghanistan Kabul, kwa kawaida kimeelekeza umakini ni nani sasa anaweza kuchukua usukani wa kundi hilo la kigaidi lililopigwa marufuk

Sayf al-Adl mzaliwa wa Misri ndiye anaonekana kuwa mtu anayeweza kumrithi kiongozi huyo. Yeye ndiye pekee aliyenusurika katika kundi la maveterani watano wa al-Qaeda waliowahi kutajwa kama manaibu wa al-Zawahiri, na sasa wanaaminika kuwa na uwezekano mkubwa wa kumrithi.

Lakini kunaweza kuwa na tatizo.

Al-Adl inaaminika kwa kiasi kikubwa kuishi chini ya vikwazo nchini Iran - nchi ambayo al-Qaeda inaiona kuwa adui mkubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here