Uchaguzi wa Kenya 2022: Wanaotarajiwa kuwa Mama taifa wa Kenya - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 2 August 2022

Uchaguzi wa Kenya 2022: Wanaotarajiwa kuwa Mama taifa wa Kenya

 Kenya inapoelekea kwa uchaguzi mkuu macho yanaelekezwa kwa wanawake walio katika maisha ya wagombea wanne wa urais.

Je ni nani kati ya wanawake hawa wanne atachukua mkoba kutoka kwa Margaret Kenyatta kama Mama Taifa wa Kenya?

Tunawaangazia kwa ufupi ili uwajue kwani mmoja wao ndiye atakayekuwa mama wa taifa wa nchi endapo mume wake atachaguliwa kuwa rais wa Kenya .

Ida Odinga

ida Odinga

CHANZO CHA PICHA,IDA ODINGA TWITTER

Ni mke wa mwanasiasa mkongwe na kiongozi wa upinzani Raila Odinga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here