SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA UFAFANUZI WA BAADHI YA MASUALA YALIYOJITOKEZA WAKATI WA MKUTANO WA WABUNGE WOTE - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 27 October 2022

SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA UFAFANUZI WA BAADHI YA MASUALA YALIYOJITOKEZA WAKATI WA MKUTANO WA WABUNGE WOTE

 


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene na Katibu wa Bunge, ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc

Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Kikao hicho kiliongozwa na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa akichangia jambo wakati wa kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Kikao hicho kiliongozwa na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson

Mbunge wa Nzega Vijijini, Mhe. Hamisi Kigwangalla akichangia jambo wakati wa kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Kikao hicho kiliongozwa na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here