WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023, - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Tuesday, 8 November 2022

WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023,

 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Jenitha Ndone.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Miriam Mmbaga akichangia hoja katika Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma,

Kamishna wa Uhamiaji Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka, Samwel Mahirane akichangia hoja katika Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara ya mambo ya Ndani ya Nchi kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma,

Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Wanja Mtawazo akichangia hoja katika Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Katibu wa Kamati hiyo, Jenitha Ndone, wakati alipokuwa anawasili kwa ajili ya kuongoza kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment