ZIARA YA MAJALIWA WILAYANI TANGANYIKA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 12 December 2022

ZIARA YA MAJALIWA WILAYANI TANGANYIKA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Abdallah Kakoso wakati alipotembelea banda la wafugaji  nyuki katika maonyesho yaliyoandaliwa kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Kagunga wilayani Tanganyika  ambapo pia Waziri Mkuu alizungumza na wananchi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 12, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Onesmo  Mpuya Buswelu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mfano wa hundi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, Shabani Juma Juma (wa  pili kushoto) wakati alipokabidhi jumla ya Shilingi bilioni 4.27 kwa Halmashauri hiyo na vijijiji vinane yakiwa ni malipo  ya mauzo ya hewa ya ukaa awamu ya sita zilizotolewa na taasisi ya CARBON TANZANIA. Kushoto ni Mbunge wa Mpanda Vijijini, Selemani Kakoso, wa pili kushoto ni  Muasisi na Mkurugenzi wa taasisi ya Carbon Tanzania, Marc Baker na kulia ni mhasibu wa taasisi hiyo,

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here