This is the special room for news where you need to settle with!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na watangazaji wa kipindi cha Goodmorning kutoka Wasafi Media ambao walimtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma leo Mei 5, 2023.
No comments:
Post a Comment