Majaribio Ya Treni Ya Umeme Ya Kisasa Ya (SGR) - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday 26 February 2024

Majaribio Ya Treni Ya Umeme Ya Kisasa Ya (SGR)

  Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) ikipita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni hiyo ya SGR kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi Mkoani Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka Mkoani Morogoro. Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza Mwezi wa Julai, 2024.







No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here