Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Ziarani Wilayani Ruangwa - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday 20 February 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Ziarani Wilayani Ruangwa

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kuhusu Maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku iliyopo Ruangwa Mkoani Lindi,
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua Maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku iliyopo Ruangwa Mkoani Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,  Feisal Alli Saidi kuhusu Maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku iliyopo Ruangwa Mkoani Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kata ya Chienjele baada ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku na taa za barabarani, Ruangwa Mkoani Lindi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kata ya Chienjele baada ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku na taa za barabarani, Ruangwa Mkoani Lindi, Februari 20,2024.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here