UFUNGUZI WA MKUTANO WA KITAIFA WA RASILIMALIWATU KATIKA SEKTA YA AFYA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday 30 July 2024

UFUNGUZI WA MKUTANO WA KITAIFA WA RASILIMALIWATU KATIKA SEKTA YA AFYA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 30, 2024 atafungua Mkutano wa kitaifa wa Rasilimaliwatu katika Sekta ya Afya sambamba na Kumbukumbu ya Hayati Benjamin Mkapa.

Mkutano huo unafanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

kaulimbiu ya Mkutano huo ni *“Nguvukazi Sekta ya Afya: Mhimili wa Maendeleo Endelevu”.* Kaulimbiu hii imebeba uhalisia wa masuala muhimu kwa mandeleo endelevu ya sekta ya afya.   

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here