Katibu
Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga
akisikiliza Maelezo kutoka kwa washiriki tofauti wa Mkutano Mkuu wa
Maafisa Ustawi wa Jamii nchini katika moja ya eneo la maonesho ya
masuala yahusuyo Ustawi wa Jamii wakati wa Ufunguzi wa Mkutano huo
uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Kaimu
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akipokea moja ya kitabu
kinachoelezea masuala mbalimbali ya Ustawi wa Jamii kutoka kwa mshiriki
wa Mkutano Mkuu wa Maafisa wa Ustawi wa Jamii nchini wakati wa ufunguzi
wa Mkutano Mkuu wa Maafisa wa Ustawi wa Jamii nchini uliofanyika UDOM
Mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa TASWO Dkt. Zena Mabeyo akitoa salamu za wananchama wa TASWO kwa
mgeni rasmi Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Bibi. Sihaba Nkinga(kulia waliokaa) wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu
wa Maafisa wa Ustawi Jamii nchini uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya JSI Dkt.Tuli Tuhuma akitoa maelezo kuhusu kazi za Taasisi
yake kwa mgeni rasmi Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(kulia waliokaa) katika kuleta ufanisi wa kazi
za Ustawi wa Jamii nchini wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa
Ustawi wa Jamii nchini uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Mkuu
wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dkt. Abu Mvungi akitoa mada kuhusu
umuhimu wa Maafisa Ustawi wa Jamii nchini wakati wa Ufunguzi wa Mkutano
Mkuu wa Maafisa hao uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Katibu
Mkuu Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba
Nkinga(kushoto) akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa TASWO Dkt. Zena
Mabeyo(kulia) wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Ustawi wa
Jamii nchini uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Katibu
Mkuu Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga
akizungumza na Maafisa Ustawi wa Jamii nchini kabla ya kufungua Mkutano
Mkuu wa Maafisa hao uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Baadhi
ya Maafisa Ustawi wa Jamii kutoka Serikalini na Taasisi na Mashirika
yasiyo ya kiserikali wakimsikiliza Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(hayupo pichani) wakati
akizungumza nao kabla ya kufungua wa Mkutano Mkuu wa Maafisa hao
uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Katibu
Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(wa
pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Ustawi wa
Jamii nchini mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Maafisa hao
uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW

No comments:
Post a Comment