Katibu
Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga
akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu
ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika kikao
kilichofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimali Watu kutoka Idara kuu ya
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. James Kibamba(kulia)
akiwasilisha mapendekezo ya marekebisho ya Muundo wa Utumishi wa Idara
ya Ustawi wa Jamii uliopitiwa na kujadiliwa na wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
Mkurugenzi
wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Deodatha Makani (kushoto) akifafanua
masuala ya Kiutawala kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu
ya Mendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto lililofanyika mjini
Morogoro Novemba 30, 2017.
Kamishna
Msaidizi wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi (kulia) akifafanua jambo
kwa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Mendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akisisitiza wajumbe wa
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Idara Kuu Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu umuhimu wa uzingatiaji wa Kada zote za
Ustawi wa Jamii katika rasimu ya muundo unaopendekezwa kwenye Baraza
lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Atupile Mwambene akitoa ufafanuzi
kuboresha rasimu ya marekebisho ya Muundo wa Utumishi wa Idara ya Ustawi
wa Jamii kwa wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi Idara kuu ya
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini
Morogoro Novemba 30, 2017.
Mwanasheria
kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Bi.Vicness Mayao akifafanua masuala ya kisheria kwa wajumbe wa Baraza
la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii waliokutana mjini
Morogoro Novemba 30, 2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto Bibi. Magreth Mussai akitoa maoni
yake kuhusu maboresho ya Muundo wa Utumishi kwa Kada ya Ustawi wa Jamii
kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii
lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
Mkuu
wa chuo cha Buhare Bw. Paschal Mahinyira akitoa hoja kwa Wajumbe wa
Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee
na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
Baadhi
ya wajumbe wawakilishi wa Watumishi wa Idara Kuu Maendeleo ya Jamii
wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyojiri katika Baraza la Wafanyakazi
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini
Morogoro Novemba 30, 2017.
No comments:
Post a Comment