Msanii
wa muziki Bongo, Afande Sele amemvaa vikali msanii mwenzie, Mrisho
Mpoto kufuatia madai kuwa alihusika kutoa baadhi ya wasanii katika wimbo
maalum uliotungwa kwa ajili ya uzalendo na kumuweka Christian Bella
wakati si raia wa Tanzania.
Afande
Sele amedai kitendo hicho ni kuwakosea heshima wasanii wa Tanzania na
Watanzania wenyewe. Msikilize hapo chini akifunguka zaidi pia Mrisho
ajibu.

No comments:
Post a Comment