Afande Sele amvaa Mrisho mpoto - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 12 December 2017

Afande Sele amvaa Mrisho mpoto

Msanii wa muziki Bongo, Afande Sele amemvaa vikali msanii mwenzie, Mrisho Mpoto kufuatia madai kuwa alihusika kutoa baadhi ya wasanii katika wimbo maalum uliotungwa kwa ajili ya uzalendo na kumuweka Christian Bella wakati si raia wa Tanzania.

Afande Sele amedai kitendo hicho ni kuwakosea heshima wasanii wa Tanzania na Watanzania wenyewe. Msikilize hapo chini akifunguka zaidi pia Mrisho ajibu.
Afande Sele amvaa Mrisho mpoto

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here