Chanzo cha Shilole kuolewa Kimya Kimya - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 12 December 2017

Chanzo cha Shilole kuolewa Kimya Kimya

Msanii Zuwena Mohamed, maarufu kama Shilole amesema kilichomfanya afunge ndoa kimya kimya ni kutokana na ushauri alioupata  kutoka kwa Maustadhi kuwa siku ya ndoa ina mambo mengi na 'husda' nyingi, ndio maana alifunga ndoa kimya kimya. 

Chanzo cha Shilole kuolewa Kimya Kimya

Shilole alitoa ahadi kuwa atafunga ndoa  kabla ya mwaka huu kuisha na kuwahaidi  mashabiki wake kuwa atawatangazia siku ya ndoa yake lakini hakutekeleza ahadi yake hiyo na badala yake mashabiki wake waliona tu picha zake akiwa  tayari amefunga  ndoa.

"Mimi tayari nimeshafunga ndoa kama mlivyoona picha lakini naomba mashabiki zangu msijali ndoa tayari lakini kutakuwa na sherehe kati ya tarehe 20 au 25 mwaka huu kwahiyo mashabiki wangu mjiandae kula na kusaza mpaka vyakula vingine mtaondoka navyo,"amesema Shilole
Siku chache zilizopita  Shilole alifunga ndoa na mpenzi wake Uchebe na kesho yake picha kusambaa mitandaon

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here