Ajiita MRS Prezoo .Amber Lulu - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Sunday, 14 January 2018

Ajiita MRS Prezoo .Amber Lulu

Ajiita MRS Prezoo .Amber Luluber Lulu
Amber Lulu amejibatiza jina la U-Mrs Prezzo baada uhusiano wake na MB Prezzo kukolea.
Binti huyo mrembo ameamua kujipachika jina hilo kwa sababu anaamini kuwa ndio mtu ambaye moyo wake umetua kwake.
“Nimejiamini kabisa wala sina hofu na kujipachika jina hilo kwa sababu najua yule ni wangu tu,” alisema Amber Lulu

No comments:

Post a Comment