Dili zima la Sanchez kutua Man United hili hapa - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 23 January 2018

Dili zima la Sanchez kutua Man United hili hapa

Dili zima la Sanchez kutua Man United hili hapa

Baada ya mshambuliaji Alexis Sanchez kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Man United.

Sanchez, 29, anakuwa na mshahara mkubwa zaidi katika kikosi cha Man United inafikia pauni 600,000 kwa wiki. Yaani £350,000 ni mshahara, £100,000 ni haki ya picha na £144,000 bonas.

Kama ni mshahara pekee bila vitu vingine, bado yeye anaongoza.


WANAOONGOZA KWA MSHAHARA MAN UNITED NA MAN CITY
Sanchez: £350,000. 
Paul Pogba - £290,000, 
Romelu Lukaku - £250,000 
Zlatan Ibrahimovic - £220,000

Manchester City:
Sergio Aguero na Yaya Toure -£220,000.

HAKI YA PICHA - £100,000(KWA WIKI)

BONAS-£144,000 (KWA WIKI)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here