De Bruyne ajipiga kitanzi Man City hadi 2023 - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 23 January 2018

De Bruyne ajipiga kitanzi Man City hadi 2023

De Bruyne ajipiga kitanzi  Man City hadi 2023
Manchester City imeamua kumuongeza kiungo wake wa pembeni Kevin De Bruyne mkataba wa miaka mitano na nusu.

De Bruyne atakuwa akipokea mshahara wa jump ua pauni 350,000 kwa wiki sawa na ule anaolipwa Alexis Sanchez aliyejiunga na Manchester United akitokea Arsenal.

Lakini mgawanyo wa De Bruyne ni pauni 280,000 ya mshahara kwa wiki pamoja na bonas ya 70,000.

Kiungo huyo wa pembeni mwenye kazi alikuwa akiwaniwa kwa karibu na klabu maarufu duniani ya Real Madrid na inaonekana City wamefanya hivyo kuhakikisha anabaki.

Kwa mkataba huo, sasa De Bruyne atabaki Manchester City hadi mwaka 2023.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here