
Soka raha sana aisee. Wakati uliona Liverpool wamepata moto baada ya kuitwanga Man City kwa mabao 4-3.
Lakini wamekutana na Swansea ambayo inaonekana kuwa ni kibonde lakini jana imeitwanga Liverpool kwa mabao 1-0.
Angalia picha hizi hapa…
This is the special room for news where you need to settle with!
No comments:
Post a Comment