Ishu ya Lwandamina Mkwasa kuimaliza wiki hii - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 23 January 2018

Ishu ya Lwandamina Mkwasa kuimaliza wiki hii

Ishu ya Lwandamina Mkwasa kuimaliza wiki hiiKocha George Lwandamina lazima ataanza kazi wiki hii baada ya kupata kibali.

Kocha huyo raia wa Zambia atakuwa amepata kibali cha kufanya kazi ambacho kimeelezwa kitakuwa kimepatikana kuanzia leo, kesho au keshokutwa.

Taarifa kutoka ndani ya Yanga zimeeleza mambo yote yameishakamilika na lilibaki suala la kutoa.

“Kila kitu kimekamilika limebaki suala la kutoa tu kibali,” kilieleza chanzo.


Lwandamina alilazimika kubaki jukwaani katika mechi mbili za Yanga za Ligi Kuu Bara kutokana na kutokuwa na kiba

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here