Marekani: Ndege yaanguka na kusababisha nyumba mbili kuwaka moto - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Wednesday, 30 October 2019

Marekani: Ndege yaanguka na kusababisha nyumba mbili kuwaka moto


Ndege ndogo imeanguka katika eneo la makazi katika Jiji la Woodbridge, jimbo la Marekani la New Jersey hapo jana na kusababisha nyumba tatu za jirani kuwaka moto.

Ndege hiyo aina ya Cessna 414 yenye injini mbili na viti vya abiria wanane, iliangukia nyumba hizo  saa tano mchana wakati wa ndani.

Rubani wa ndege hiyo, ambaye alikuwa pekee yake alifariki katika ajali hiyo, kulingana na msemaji wa Bodi ya Usalama ya Usafiri wa Nchini (NTSB).

No comments:

Post a Comment