This is the special room for news where you need to settle with!
Tuesday, 22 October 2019
PICHA: Mechi ya Mbao FC dhidi ya Yanga
aadhi ya picha zaa matukio mbalimbali katika mchezo wa Mbao FC dhidi ya Yanga, mchezo uliomalizika yanga wakishinda kwa bao 1-0 katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwenye viwanja viwili kati ya Mbao FC dhidi ya Yanga na JKT Tanzania dhidi ya KMC FC, na haya ndio matokeo ya michezo hiyo.
No comments:
Post a Comment