Waziri Mwakyembe azindua Jukwaa la Utengenezaji maudhui na Usambazaji wa kazi za Sanaa - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Wednesday, 30 October 2019

Waziri Mwakyembe azindua Jukwaa la Utengenezaji maudhui na Usambazaji wa kazi za Sanaa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengenezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Wengine ni Mtangazaji kutoka Clouds Media Group (Clouds Plus), Gift Swai (kushoto) na Isaya Kandonga (Kulia)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa Mtangazaji wa Clouds Media Group(Clouds Plus), Isaya Kandonga kuhusu Jukwaa la utengenezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengenezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akieleza jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengenezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerer

No comments:

Post a Comment