Dkt. Mwakyembe awapa za uso Wasanii wanaoimba siasa 'achana na muziki anzisha Chama - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Saturday, 16 November 2019

Dkt. Mwakyembe awapa za uso Wasanii wanaoimba siasa 'achana na muziki anzisha Chama



Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amewataka wasanii wanaoimba siasa kuacha kuimba siasa kama wakishindwa wafungue Chama.
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa.Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi."
"Haiingii akilini nina shahada nne halafu mtu aliyeishia darasa la nne unanionya mimi ntaona unafanya mzaha tu."
Hivi karibuni msanii wa Hip Hop,  Roma ameachia wimbo siku za hivi karibuni unaojulikana kwa jina la 'Anaitwa Roma' aliomshirikisha One Six.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here