Kiongozi wa ACT Wazalendo atimkia CCM - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 17 November 2019

Kiongozi wa ACT Wazalendo atimkia CCM



Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Wilaya ya Pangani Bakari Mofi ameachana na chama chake na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo amepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Pangani Ndg. Rajabu Abdalah.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here