Lionel Messi aanza mazungumzo na Barcelona kuongeza mkataba - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 17 November 2019

Lionel Messi aanza mazungumzo na Barcelona kuongeza mkataba


Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi yupo katika mazungumzo ya kusaini mkataba mpya na klabu hiyo ya Cataluny.
Amethibitisha Mkurugenzi wa michezo wa timu hiyo Eric Abidal akizungumza na gazeti la Hispania Mundo Deportivo.
Messi mwenye umri wa miaka 32 sasa ana mkataba na Barcelona unamalizika mwaka 2021 lakini mapema mwaka huu kuliibuka taarifa kuwa anaweza kuondoka bure klabuni hapo mwisho wa msimu wowote.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here