1. Mboga za majani; 2. Mtu anayepima uzito kwenye mzani

3. Fanya mazoezi. Kufanya mazoezi kunaweza kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu na kukusaidia uwe na uzito unaofaa. Mtaalamu fulani anapendekeza kupunguza muda unaotumia kutazama televisheni ili uwe na muda wa kufanya mazoezi.Huwezi kubadili chembe zako za urithi, lakini unaweza kubadili maisha yako. Utafaidika sana ikiwa utajitahidi kutunza afya yako.