Mchezaji wa Lipuli FC Daruwesh Saliboko ni mchezaji wa pili kufunga 'hat-trick' msimu huu baada ya Ditram Nchimbi.
Pichani Saliboko yuko na mpira wake baada ya mechi ya leo alipofunga matatu katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Singida United. Mabao mengine mawili yamefungwa na Paul Nonga.
No comments:
Post a Comment