Waziri Mkuu ashiriki Mazishi ya kaka yake Mzee Bakari Majaliwa - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 6 November 2019

Waziri Mkuu ashiriki Mazishi ya kaka yake Mzee Bakari Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na baadhi ya viongozi walioshiriki katika mazishi ya marehemu kaka yake, Mzee Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Simon Siro, Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Venance Mabeyo na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani
Mke wa Waziri mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwa na Kamishina Jenerali wa Uhamiaji , Dkt, Anna Makakala (katikati) na katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Rehema Madenge (kushoto) katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here