Mtibwa Sugar wataanza kuutumia uwanja wa CCM Gairo uliopo Morogoro kama uwanja wao wa nyumbani kwenye mechi za Ligi kuu Tanzania Bara
Mchezo wa kwanza katika uwanja huo, Mtibwa wanatarajia watacheza dhidi ya Mwadui FC, Mchezo huu utachezwa majira ya saa 10 jioni.
No comments:
Post a Comment