Raheem Sterling awatunishia msuli Man City kisa Pep Guardiola - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 25 November 2019

Raheem Sterling awatunishia msuli Man City kisa Pep Guardiola


Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Manchester City, Raheem Sterling hatotia saini mkataba wenye thamani ya pauni £450,000 kwa wiki.
Sababu kubwa ni hadi pale atakapothibitisha kocha Pep Guardiola atasalia katika klabu ya Manchester City kwa kipindi cha muda mrefu.
Sterling mwenye umri wa miaka 24 amekuwa mmoja wa wachezaji bora Epl kwasasa chini ya usimamizi wa Guardiola, na ana uhusiano mkubwa na meneja wa huyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here